KIMENUKA SIMBA: WANACHAMA WAANDAMANA HAWAMTAKI KABURU NA KASEJA

Baadhi ya wanachama wa Simba leo hii wameandama mpaka kwenye makao makuu ya klabu hiyo wakiwa na mabango yaliyokuwa yakiwataka makamu mwenyekiti wa Simba Godfrey Kaburu na Nahodha wa timu hiyo Juma Kaseja kuachia nafasi kwenye timu kwa madai ya kuihujumu timu na kupata matokeo mabaya.


Post a Comment

Previous Post Next Post