Kampuni kubwa inayo ongoza katika maswala ya Technology ulimwenguni
Google, wapo katika maandaliza ya kuzindua bidhaa yao mpya aina ya lens
za macho ijulikanayo kama Smart Contact Lenses. Lens hizo za macho
hazijatengenezwa kwa ajili ya watu wenye matatizo ya macho na wala si
kwa ajili ya internet au mawasiliano ya aina yeyote kama watu
wanavyodhania bali ni lens ambazo zitakuwa zikitumika kuangalia kiasi
cha sukari mwilini.

Lens hizo zimetengenezwa haswa kwa ajili ya watu wanaosumbuliwa na ugonjwa wa kisukari. Kupitia lens hizo wagonjwa wataweza kupima kiurahisi kiasi cha sukuari mwilini mwao kupitia ute/machozi katika macho, na kwa sasa kampuni ya hiyoo ya Google iko katika majaribio ya matumizi ya lens hizo baada ya kufanya research za kisayansi za kutosha na pia wanatafuta kampunia ambayo itaweza kuungana nayo kwa ajili ya kuziachia bidhaa hizo katika soko.

Post a Comment