Kile kipindi cha TV “MAISHA PLUS” kimerudi unaweza kujaza fomu yako hapa


blogger-image-1083992735
Zimebaki siku 9 tu za kujaza fomu ya ushiriki.
1. Kijana wa Tanzania, Burundi, Rwanda, Kenya, Uganda mwenye umri wa kati ya miaka 21 – 26, jaza fomu ya kushiriki shindano la Maisha Plus moja kwa moja mtandaoni kwa kubofya hapa
–> http://maishaplus.tv/MaishaPlusFomu2014.html 2. Kama wewe ni mkulima mwanamke mwenye umri wa miaka 18 mkazi wa Tanzania ama unamfahamu yeyote, jaza fomu moja kwa moja kwa kubofya hapa –>
http://maishaplus.tv/MamaShujaaFomu2014.html

Post a Comment

Previous Post Next Post