
Raymond Mshana (25), mzaliwa wa Same, Kilimanjaro.
HIVI karibuni, watangazaji nyota waliojizolea umaarufu mkubwa Bongo
kupitia Redio Clouds FM, wakitangaza kipindi cha XXL, Hamisi Mandi ‘B12’
na Adam Mchomvu ‘Baba John’ walisimamishwa kazi kituoni hapo kwa muda
usiojulikana.
Inaelezwa kuwa, hata yule mtangazaji mwenye sauti yenye mvuto wa aina
yake Fatuma Hassan ‘Dj Fetty’ naye yupo kifungoni muda mrefu kabla ya
akina B12 ingawa taarifa hizo hazijathibitishwa rasmi.
Katika mkumbo wa akina B12, mtangazaji mwingine wa Kipindi cha Ala za
Roho, Loveness Malinzi 'Diva Loveness Love' naye amesimamishwa.
Uamuzi wa kuwasimamisha B12 na Mchomvu ulifikiwa na uongozi...
Post a Comment