Hiki ndicho Alichokisema Master Jay kuhusu uhusiano wake na Shaa pamoja na Mke wake wa Ndoa - Soma/Sikiliza Hapa.

Mj na Shaa Ingawa kuna fununu ambazo si rasmi kuhusu uhusiano wa kimapenzi kati ya Master Jay na Shaa,hapa kuna stori tofauti ambayo  Clouds Fm imei-amplify kuhusu mke wa Master Jay kutoka na msanii wa Bongo fleva,hapa utamsikia Master Jay na msanii anayesemekana kumchukua Mke wa Master Jay.

Bonyeza play kusikiliza.

Post a Comment

أحدث أقدم