
“Dear Mr President. It has been 6 months since our performance at Kenya@50! Please pay us our dues. @UKenyatta #kenyaat50″.
Hii ni kutokana na wasanii wote waliofanya shughuli zao za kisanii katika maadhimisho hayo waliahidiwa malipo yao ambayo yapata miezi 6 sasa wanazungushwa.

Hii ndio imesukuma kundi hilo kushindwa kuvumilia na kuamua kumdai Rais huyo mtandaoni.
إرسال تعليق