Hapa Kuna Zile Picha Za Watu 700 Wakiandamana Kwenda Nyumbani Kwa Edward Lowassa Kumtaka Achukue Fomu Ya Urais

Makundi mbalimbali ya kijamii ya mikoa ya Kaskazini, inayojumuisha mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Arusha na Manyara wakiwa wanaandamana kwa pamoja kuelekea kwa mbunge wa jimbo la monduli 

 


Katibu wa Chama cha Wasioona Mkoa wa Kilimanjaro (TLB), Protas Soka Akisoma risala kwa niaba ya makundi hayo mbele ya mbunge wa jimbo la monduli

 

Viongozi mbalimbali wa makundi ya kijamii wakiwa wanamkabidhi waziri mstaafu ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Monduli Edward Lowasa bahasha yenye fedha taslimu shilingi milioni mbili laki tano sitini na saba elfu na mia sita zilizochagwa na wananchi kwa ajili ya kwenda kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais

Post a Comment

Previous Post Next Post