Mwezi December 2014 kulikuwa na story ya mtuhumiwa mmoja kuuawa kwa kupigwa risasi wakati alipokuwa akijaribu kutoroka Mahakama ya Kisutu
kwa kuruka ukuta wa Mahakama hiyo, story kutoka Kenya leo inafanana na
hii.. inahusu mtuhumiwa mmoja kufanya jaribio la kutoroka kutoka Mahakama ya Machakos.
Mtuhumiwa huyo alijaribu kutoroka lakini askari wakampiga risasi mkononi
na mguuni akiwa juu ya ukuta, majeraha hayo yalimfanya ashindwe
kukimbia, akakamatwa.
Mahabusu huyo alifikishwa Mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu baada ya
kulewa na hukumu yake ilikuwa alipe faini ya Kshs 200, jaribio lake la
kutoroka limefanya awe na kesi nyingine mpya kutokana na kufanya kosa
hilo.
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
Post a Comment