AL SHABAB WAMKANA OWEN

Former Manchester United striker Michael OwenKLABU ya Al-Shabab ya Falme za Kiarabu (UAE) imesema haina mpango wa kumsajili mshambuliaji wa zamani wa kimataifa wa England, Michael Owen baada ya kutemwa na klabu yake, Manchester Unite. Habari kamili: Daily Mirror

MSHAMBULIAJI Wayne Rooney ametimkia Los Angeles kwa mapumziko mafupi baada ya timu yake ya taifa, England kutolewa katika Euro 2012.

Post a Comment

أحدث أقدم