BALOTELLI APIGA MBILI ZOTE, NI ITALIA NA HISPANIA FAINALI EURO 2012

Mario Balotelli scores his second


Centre of attention: Mario Balotelli rips his shirt off and poses following his crucial second
NYOTA WA MCHEZO: Mario Balotelli akishangilia bao lake la pili
1-0: Balotelli beats Holger Badstuber to Antonio Cassano's tempting centre
1 - 0: Balotelli anamzidi ujanja Holger Badstuber na kumtungua tManuel Neuer
Hands up: Neuer was uncharacteristically slow, letting Balotelli's header past
MIKONO JUU: Neuer akitunguliwa bao la kichwa na Balotelli
Hands up: Neuer was uncharacteristically slow, letting Balotelli's header past


Not a prayer: Ballotelli latches on to Riccardo Montolivo's through ball to give Neuer no chance with the second
HAKUNA MTU: Ballotelli la pili
Not a prayer: Ballotelli latches on to Riccardo Montolivo's through ball to give Neuer no chance with the second
HAKUNA MTU: Ballotelli anafunga la pili
Booked: French referee Stephane Lannoy had no option
KADI: Refa Mfaransa Stephane Lannoy akimpa kadi ya njano Balotelli kwa kishangilia kifua wazi


SUPER Mario Balotelli amefunga mabao mawili usiku huu na kuiwezesha Italia kuitoa Ujerumani kwa kuifunga 2-1 katika Euro 2012 na kutinga fainali, ambako itamenyana na Hispania mjini Kiev.

Post a Comment

أحدث أقدم