Chofaco
Records ya Marekani iliyotengeneza beat ya Danger ya Fid Q, imeamua
kuzungumza na kuwajibu Orijino Komedi waliomshutumu Fid kuwa amecopy na
kupaste beat hiyo.
“CHOFACO RECORDS OWNS FULL COPYRIGHT OF THE SONG DANGER BY FIDQ, PRODUCED BY CHOBARAY.
NYIMBO ILIREKODIWA NOVEMBER,2008.JIULIZEE NYIMBO ILITOKA MWAKA GANI? MZIKI WA USA SIO SAWA NA MZIKI WA BONGO.
KUNATOFAUTI KATI YA MIXTAPE SONGS AND ALBUM SONGS ALSO LEASED TRACKS,NON EXCLUSIVE TRACKS AND EXCLUSIVE TRACKS.
KABLA
ORIJINO KOMEDI KUKURUPUKA NA KUONGEA/KUFANYA VIPINDI VYAO LAZIMA MJUE
COPYRIGHTS ZA KAZI ZA WATU,HESHIMA NA BUSARA,KUULIZA NA KUELIMISHWA SI
UJINGA.”
Post a Comment