Waandishi wa Habari wakiwa wamebeba Mwili wa Marehemu kuelekea Makabirini
Wakiwa wanafanya ibada ya Mwisho kabla ya kuanza maziko
Hapa wakiwa wanashusha mwili wa marehemu katika Nyumba yake ya milele
Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi ukiwa Tayari katika Kaburi
Shughuri za kuzika zimeanza

Mazishi yanaendelea

Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi akiweka Shada la Mauwa kwa machungu

Mke wa Daudi Mwangosi akiwa analia kwa uchungu katika Kaburi la Marehemu Mumewe

Watoto wa Marehemu wakiwawanaweka mashada ya maua sasa

Ni ngumu sana Kuamini kwa mke wa Marehemu lakini hali ndivyo ilivyo kuwa akiwa na huzuni kubwa

Dr Slaa akiweka Shada la Mauwa
Dr Slaa Baada ya kumaliza kutoa heshima za mwisho
Mh. Mark Mwandosya akiweka Taji la maua pamoja na mke wake

Rais wa UTPC akiweka shada la Maua
Ndugu wa Marehemu akiweka shada la Maua
Mwenyekiti wa Mbeya Press Club akiweka shada la maua


Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu, Ndugu Joseph Mwaisango akiwa anatoa heshima zake za Mwisho katiaka Kaburi

Wananchi wakiwa wanarejea baada ya mazishi

Waandishi wa Habari wakichukua Tukio Live `
Na
huu Ndio Mwisho wa tukio zima la Mazishi ya Ndugu yetu, Mwanaharakati,
Mpiganaji Daudi Mwangosi aliyekuwa Mwandishi wa Chanel 10.
HISIA ZA MWANANCHI, INANAWAPA POLE SANA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WALIOPATWA NA MSIBA
MKUBWA, TUKIWA WANAHABARI PIA TUMESIKITIKA NA TUNASIKITIKA SANA KUTOKANA
NA MSIBA HUU. MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU.
PICHA NA MBEYA YETU BLOG

Post a Comment