UINGEREZA YASHINDWA KUWAFUNGA WAPOLISH-POLAND WATOKA SARE.MECHI ILITAKIWA KUCHEZWA JANA MVUA IKAWEKA MAFURIKO UWANJANI IKABIDI ICHEZWE LEO.


Jana walisahau kuufunga uwanja ili mvua isiingie leo wamefunga paa.

Washabiki wakiwa na maboya ya kuogelea kuonyesha hali ilivyokuwa jana na shabiki mmoja aliingia uwanjani na kuchupa.
 Goli alilofunga Rooney kwa kichwa na bega liliwapa  ahueni England kabla ya waPoland kurudisha


Goli waliofunga waPoland kwa kichwa.Wanahabari wameanza kumsema kipa kafungisha.Lakini England leo mpira waliocheza ni mbaya hakuna kiwango

Post a Comment

Previous Post Next Post