USIKU WA IZZO B NA GODZILLA NDANI YA NEW MAISHA CLUB








Usiku wa Izzo B na Godzilla ndani ya new maisha club usiku wa kuamkia leo J tatu kiukweli show ilikuwa ni nzuri na mashabiki waliwapokea wasanii hawa wawili jinsi inavyotakiwa big up to Izzo B na Godzilla pamoja na All kiba kwa kutoa support.

Post a Comment

Previous Post Next Post