
Wiki iliyopita producer na muimbaji Bob Junior na mkewe walipata mtoto wa kiume. Hisia za Mwananchi inampa hongera rais huyo wa Sharobaro kwakuwa Baba.
Guru aka G-Lover akiwa na mke wa Bob Junior na wake
Bob Junior na mkewe wakifurahia na mtoto wao
Baba na mwana
Babu na mjukuu
G-Lover na mtoto wa Bob Junior
Post a Comment