RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEWA NA BALOZI WA MAREKANI - IKULU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhardt,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhardt, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhardt,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake. Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.

Post a Comment

Previous Post Next Post