Waziri
wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe(katikati) akizundua rasmi Bodi ya
Wakurugenzi wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) . Dkt. Mwakyembe amezindua
Bodi hiyo leo jijini Dar es salaam ambapo ameitaka kuhakikisha
inasaidia kuimarisha reli ili mizigo mingi inayokwenda ndani na nje ya
nchi isafirishwe kwa njia ya reli ili kuokoa barabara. (Picha na
MAELEZO-Dar)
Post a Comment