MATUMAINI AFYA YAKE YAIMARIKA


Msanii wa vichekesho Bongo Tumaini Martin aka Matumaini amepataa nafuu na amerejea katika nyumba aliyokuwa anaishi zamani maeneo ya Kigogo jijini Dar.
Matumani amesema anamshukuru mwenyezi Mungu kwa kumpa afya bora pamoja na kuwashukuru wote waliokuwa wanamuombea na kumpa sapoti ya kutosha kufika hapo alipo.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa chama cha wasanii mkoa wa Ilala, Matumaini baada ya kujiona amepata nafuu amerejea katika nyumba aliyokuwa akiishi pamoja na mumewe.

Post a Comment

أحدث أقدم