MZIMU WA AJALI WAANZA KUSUMBUA IRINGA, AJALI NYINGINE TENA

 Hii ni ajali ya  pili    kutokea usiku  wa leo katika Manispaa ya Iringa imetokea eneo la Kitwiru baada ya  lori  lililobeba mbao kuacha njia na kugonga nguzo ya umeme kabla ya  kuanguka ,hakuna  aliyepoteza maisha wala  majeraha ya  kutisha
 Hii ni nguzo ya umeme na kibanda  kilichogongwa na lori hilo
Shehena ya  mbao  zikiwa  zimemwagika baada ya ajali  hii

Post a Comment

Previous Post Next Post