Professor Jay Atapeliwa na Promoter wa Kanda ya Ziwa “Edwin Ngere”

Msanii mkongwe wa bongoflava Professor Jay ameripoti alikuwa kimya kutokana na ziara yake ya kimziki kanda ya ziwa napia ameripoti kuibiwa mali za msingi na kutapeliwa na promoter Edwin Ngere,lakini hili swala limeshafika polisi.

Professor ametoa taarifa kwa fans zake yupo kanda ya ziwa kwajili ya show na alifanikiwa kufanya show 5 lakini promoter ambae alikuwa anasimamia show zake amemtapeli pesa ya show 5 na kumwibia laptop, Professor amesema “amenidhurumu pesa zangu za show 5 na kukimbia na LAPTOP yangu pia.. nilimkamata na kumpeleka polisi AMEACHIWA!”
 
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI

Post a Comment

Previous Post Next Post