Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini Mpango wa Umoja wa Mataifa wa
Amani, Usalama na Ushirikiano katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
wakati wa hafla hiyo maalumu iliyofanyika makao makuu ya Umoja wa Afrika
mjini Addis Ababa, Ethiopia, leo Februari 24, 2013.
Katibu
Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe. Ban Ki-moon akiweka saini Mpango wa Umoja
wa Mataifa wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo wakati wa hafla hiyo maalumu iliyofanyika makao
makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa, Ethiopia, leo Februari 24,
2013.
Mwenyekiti
wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa Dkt. Nkosazana Clarice Dlamini-Zuma
akisaini Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Amani, Usalama na Ushirikiano
katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakati wa hafla hiyo maalumu
iliyofanyika makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa,
Ethiopia, leo Februari 24, 2013.
Rais
Joseph Kabila wa DRC na Rais Paul Kagame wa Rwanda wakibadilishana
mawazo kwa furaha huku Rais wa Jamhuri ya Kongo (Brazaville) Mhe Denis
Sassou Nguesso akiwa kati yao baada ya wote kweka saini katika Mpango
wa Umoja wa Mataifa wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo wakati wa hafla hiyo maalumu iliyofanyika makao
makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa, Ethiopia, leo Februari 4,
2013.
Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Shamsi Vuai Nahodha pamoja na
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Mahadhi
Juma Maalim na wajumbe wengine wa ujumbe wa Tanzania wakati wa uwekaji
akiweka saini Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Amani, Usalama na
Ushirikiano katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakati wa hafla hiyo
maalumu iliyofanyika makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa,
Ethiopia, leo Februari 4, 2013.
Katibu
Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe Ban Ki-moon katika picha ya pamoja na
viongozi wa nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu baada ya uwekaji akiweka
saini Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakati wa hafla hiyo maalumu
iliyofanyika makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa,
Ethiopia, leo Februari 4, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Bw. Ban Ki-moon kwa kuwa mmoja wa viongozi wa bara la Afrika walio
mstari wa mbele kusimamia amani baada uwekaji akiweka saini Mpango wa
Umoja wa Mataifa wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo wakati wa hafla hiyo maalumu iliyofanyika makao
makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa, Ethiopia, leo Februari 4,
2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akipongezana na Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn baada
uwekaji akiweka saini Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Amani, Usalama na
Ushirikiano katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakati wa hafla hiyo
maalumu iliyofanyika makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa,
Ethiopia, leo Februari 4, 2013. Katikati ni Mwenyekiti wa Kamisheni ya
Umoja wa Mataifa Dkt Nkosazana Clarice Dlamini-Zuma.(PICHA NA IKULU).
Post a Comment