Muda
si mrefu huyu kaka kajirusha toka ghorofa ya 9 concord hotel kariakoo
akaangukia kwenye hiyo taxi dah chanzo hata hakijulikani kapatwa na nn
ni mfanya biashara anaitwa Shirima kakimbizwa hosp.
Tunafwatilia kwa undani na habari kamili endelea kutembelea mtandao huu
Tunafwatilia kwa undani na habari kamili endelea kutembelea mtandao huu
Post a Comment