Mshambuliaji
wa zamani wa Pamba FC ya Mwanza, Betram Mombeki (kulia) aliyekuwa
Marekani kwa muda mrefu, akisaini Mkataba wa miaka miwili kuichezea
SImba SC leo, baada ya kuvutia katika majaribio. Kulia ni Kaimu Makamu
Mwenyekiti wa Simba SC, Joseph Itang'are 'Kinesi'.
Post a Comment