MAJIBU YA OMMY DIMPOZ BAADA YA KUPIMA H.I.V HAPO JANA HAYA HAPA


clip_image001clip_image001[7]
Hii Ndio Post Yake kwenye Instagram Ya Star Wa Single Mpya 'Tupogo' Ommy Dimpoz Kuhusu Kupima HIV Na Kuamua Kuto Uza au Kununua Mechi Tena.
Kwenye Interview ya simu niliyo fanya nae leo, Ommy ameniambia hizi ndio sababu za yeye kupima H I V

  1. Kujua Afya ili ujilinde na uwe mtu bora.
  2. Kukinga wengine baada ya kujua afya yako pia ni muhimu.

Post a Comment

Previous Post Next Post