Msemaji
wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, jinsia na Watoto Bw. Erasto
Ching‘oro(Kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es
Salaam kuhusu mafanikio waliyoyapata tangu kuzinduliwa kwa Mtandao wa
Mawasiliano ya Kuwasaidia Watoto wanaofanyiwa Ukatili Na. 116 (Child
Help Line) kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari Bi. Zamaradi
Kawawa.(PICHA NA ELIPHACE MARWA).
Post a Comment