Rihanna amesaini mkataba mpya na Kampuni ya Jay Z ya Roc Nation ambao inasemekana ni mnono kuliko mikataba yake yote iliyopita.Rihanna akiongea na kwenye simu na Mwandishi wetu moja kwa moja kutokea NY alikataa kusema ni kiasi gani atapata kwenye mkataba huo nakusema tu (trust me i love it).
Uchunguzi wetu ulibaini kuwa Rahanna mbali na hela ambayo ni guarantee pia atakuwa anapata asilimia ya mapato yote yatakayopatikana kutokana na mauzo ya kazi zake..Swahili tv inaendelea kuchunguza kujua je RIhanna anaingiza kiasi gani kwenye mkataba huo mpya kwani alionekana kuwa mwenye furaha sana...kwa hbari zaidi za burudani tembelea blog yetu ya burudani ya DMK411.BLOGSPOT.COM
Post a Comment