Bila Kukunja Goti - Video’ kuzinduliwa Ijumaa hii Dar, J-Martins atakuwepo pia

BTvZlJ9IQAApyxO.jpg large

Ijumaa hii J-Martins atakuwa host wa East Meets West Party itakayofanyika kwenye kiota cha Elements Lounge, Masaki jijini Dar es Salaam.
Usiku huo pia, utafanyika uzinduzi wa video ya wimbo wa Mwana FA na AY, ‘Bila Kukunja Goti’ ambao wamemshirikisha J-Martins.

Post a Comment

Previous Post Next Post