Kupitia Instagram Kim Kardashian amepost picha akiwa na simu hiyo
Kwa mujibu wa mtandao wa Apple iPhone 5S zitakuwa zikipatikana katika
rangi tatu gold, silver na gray na zitaanza kupatikana Marekani,
Australia, Canada, China< Ufaransa, Ujerumani, Hong Kong, Japan,
Puerto Rico, Singapore na Uingereza Ijumaa ya (September 20).
iPhone5S
Post a Comment