MKUU WA MKOA WA PWANI AZINDUA HUDUMA ZA TIBA KUTOKA KWA MADAKTARI BINGWA KWA WANACHAMA WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA KATIKA MKOA WA PWANI.

 Mkuu wa Mkoa wa Pwani  Mwantumu Mahiza akisalimiana na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo  ,Mastidia Rutaihwa baada ya kumkabidhi moja ya boksi la dawa na vifa vilivyotolewa na  Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya  (NHIF) wakati wa Uzinduzi rasmi  wa Huduma za Tiba kutoka kwa Madaktari Bingwa kwa wanachama wa NHIF   katika jamii ya Mkoa wa Pwani  uzinduzi huo ulizihusisha  wilaya zote tata za Rufiji, Mafia na  Bagamoyo.Katikati anaye shuhudia ni Mjumbe wa  Bodi ya NHIF Charles Kajege.

 Mkuu wa mkoa wa pwani Mwantumu Mahiza akiongea na baadhi ya wananchi wa Wilaya ya Bagamoyo waliofika kupata huduma ya matibabu  wakati wa Uzinduzi wa zoezi la kutoa huduma za Tiba kutoka  kwa Madaktari Bingwa  kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na Jamii  mkoa wa pwani .kulia ni mjumbe wa NHIF  Charles Kajege.
 Mjumbe wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Charles Kajege  akimkabidhi Mkuu wa Mkoa  wa Pwani Mwantumu Mahiza moja ya boksi lenye vifaa na Dawa  wakati wa Uzinduzi rasmi wa zoezi  la  Huduma za Tiba kutoka kwa Madaktari Bingwa wa NHIF, kwa wanachama  wa mfuko  huo na jamii ya Mkoa wa Pwani .Uzinduzi huo ulifanyika  katikaWilaya ya Bagamoyo kwa niaba ya wilaya za Mafia na Rufiji.
Kaimu  Mkurugenzi  wa  Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya  (NHIF) na  Mkurugenzi Rasilimali watu na Utawala Beatus Chijumba akielezea huduma zinazotolewa na NHIF wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Kutoa Huduma za Tiba kutoka kwa  Madaktari Bingwa kwa Wanachama wa mfuko huo Mkoa wa Pwani. Kutoka kulia ni mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza , Mjumbe wa Bodi Charles Kajege na kulia ni Meneja Mkuu  wa NHIF mkoa wa Pwani, Andrew Mwilunga,

Post a Comment

Previous Post Next Post