NEWS:- UZINDUZI WA TAWI LA CCM CALIFORNIA SEPT 14, 2013.



Wana-CCM California wanapenda kuwakaribisha katika sherehe  za uzinduzi wa Tawi la CCM-California. Sherehe hizi za uzinduzi tawi hili utafanya na viongozi wa juu kutoka  makao makuu ya chama - Tanzania.

Mheshimiwa Mwiguru Nchemba- Katibu msaidizi wa CCM taifa.
Mheshimiwa Rajab Luhwavi- Msaidizi wa Rais katika masuala ya siasa.

Bila kujali itikadi za kisiasa, tunakukaribisha ukaungane nasi katika kufurahia furaha yetu hii. Usisite wala kuwa na woga kujumuika na wana-ccm katika kufurahia pamoja hata kama wewe si mwana-ccm.

Ninaomba uhakika wako kuja ili tujiweke kwenye mipango mizuri kwa kujua idadi ya wengi watakaofika.

Tarehe :-
14 Septemba 2013 

Anuwani:-
2735 Broadway Oakland, CA 94610

Muda:-
Saa kumi na moja (5pm)
 

Kwa Maelezo zaidi wasiliana
Erick J Byorwango-Katibu Wa CCM Tawi La California- (510) -520-5995

Post a Comment

أحدث أقدم