Rais Jakaya Kikwete Azindua Rasmi Jengo La Zahanati Ya Kata Ya Lugeye Wilayani Magu,Akabidhi Kitambulisho Cha Matibabu Kwa Wazee.


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi jengo la zahanati ya Kata ya Lugeye huko wilayani Magu terehe 7.9.2013.
 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Kanali Mstaafu wa Jeshi, Shadrack Faustino Mbilizi aliyehudhuria sherehe za ufunguzi wa jengo la zahanati ya Lugeye huko Magu na pia alipokea kupokea kadi yake ya kitambulisho cha matibabu kwa wazee.
Rais Jakaya Kikwete akipokea kitambulisho cha matibabu kwa wazee kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Magu Mheshimiwa Jaqueline Liana kwa ajili ya kupewa Kanali Mstaafu Shadrack Mbilizi na mkewe Mariam Said wakati wa sherehe za ufunguzi wa jengo la zahanati ya Lugeye tarehe 7.9.2013.Picha zote na John Lukuwi

Post a Comment

Previous Post Next Post