USAHILI WA TUSKER PROJECT FAME MSIMU WA SITA ILIKUA PATA SHIKA


Jackson( Mshiriki wa BSS 2011)naye alikuepo
Anna Yohhana kutoka Dar es Salaam akionesha uwezo wake wa kuimba kwa majaji katika usahili wa pili wa Tusker Project Fame 6 jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 Moja ya vijana waliojitokeza katika usahili wa Tusker Project Fame aliyekonga nyoyo za majaji kwa kipaji chake.

Post a Comment

Previous Post Next Post