Video:Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imesema Kutokana na Mtafuruku Uliotokea Bungeni Kwa Kutolewa Nje Kiongozi Wa Kambi hiyo Mh. Freeman Mbowe Amesema Hawaungi Mkono Muswada Wa Sheria Ya Marekebisho Ya Katiba Ya Mwaka 2013 Kwa Kuwa Haiwatendei Haki Watanzania .


Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni,Freeman Mbowe akizungumza kwenye kikao cha maamuzi ya pamoja  na Vyama vingine juu ya kususia mjadala wa Marerkebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba Bungeni  juzi jioni.Kushoto ni Mbunge wa Mkanyageni,Hbib Mnyaa(CUF)na Mbunge wa Kuteuliwa NCCR Mageuzi,James Mbatia.Picha na Fidelis Felix 

Post a Comment

Previous Post Next Post