ZIARAYA VIONGOZI WA CCM SHINYANGA VIJIJINI

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnuye akimbeba  nyoka aina ya chatu mara baada ya kukagua ujenzi wa soko kubwa la mazao katika kata ya Didia wilaya ya Shinyanga Vijijini.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimia wakazi wa kata ya Luhumbo Didia mara tu walipowasili kwenye kata hiyo tayari kwa kuanza ziara ya kutembelea wilaya ya Shinyanga Vijijini.
 Katibu Mkuu wa CCM Taifa  Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa Birika la kunyweshea maji mifugo akisaidiana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye,Birika hilo la kisasa linajengwa katika kata ya Didia,Shinyanga Vijijini.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga ndugu Hamis Mgeja wakipiga picha ya pamoja na mafundi wanaoshiriki katika ujenzi wa Birika la kunyweshea mifugo maji kata ya Didia.

Post a Comment

Previous Post Next Post