KCEE - Hakuna Matata (Official video) - wimbo wa staa Mnigeria alieupa jina la maneno ya Kiswahili.

Screen Shot 2014-03-19 at 1.01.46 AM 
Kcee ni staa kutoka Nigeria ambae amekua akipata airtime hata kwenye vituo vya Tanzania na single zake kama ‘Limpopo’ pia single nyingine aliyofanya na Wizkid ya ‘pull over’
Hii ni single yake mpya ambayo haina hata wiki tatu toka itoke na ametumia maneno ya Kiswahili ‘hakuna matata’ kwenye chorus na jina la wimbo wenyewe ambao ndio huu hapa chini.


Post a Comment

Previous Post Next Post