MKUTANO WA MPANGO MKAKATI WA MIAKA MITANO KUKABILIANA NA MARADHI YASIYOAMBUKIZA ZANZIBAR WAFUNGULIWA

DSC_1212 Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dk Mohd J,Dahoma akifungua mkutano wa Mpango mkakati wa Miaka mitano 2014 hadi 2019 juu ya kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View Zanzibar.DSC_1216 Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dk Mohd J,Dahoma akifungua mkutano wa Mpango mkakati wa Miaka mitano 2014 hadi 2019 juu ya kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View Zanzibar.DSC_1219 Mwakilishi kutoka Danida tawi la Zanzibar Dr.Jutta katikati akichangia mada kuhusu kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View Zanzibar.DSC_1221 Meneja wa Mradi wa Kumaliza Malaria Zanzibar Abdulla Suleiman wapili kulia akichangia mada kuhusu kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View.DSC_1226Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dk Mohd J,Dahoma katikati akiwa katika picha ya Pamoja na washiriki wa Mkutano unaohusiana na Mpango mkakati wa Miaka mitano 2014 hadi 2019 juu ya kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View .
DSC_1238 
Washiriki wa Mkutano wa kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar wakijadiliana kuhusiana na maswali mbalimbali yaliojitokeza katika mkutano huo,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View . 
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR

Post a Comment

Previous Post Next Post