WASHINDI SHINDANO LA SHINDA APPLE MIN IPAD CAMPAIGN LINALO ENDESHWA NA SMILE COMMUNICATIONS LTD WAPATIKANA

001 (6) 
Mkuu wa Mauzo wa  Smile  Communications Tanzania, Linda Chiza (wa pili kulia), akimkabidhi simu aina ya Ipad, Wakili Onesmo Michael ambaye ni  mshindi wa wiki iliyopita katika  shindano la Shinda Apple Min Ipad campaign kutoka Smile   Communications Ltd Dar es Salaam leo. Wiki hii  washindi watatu wamejishindia simu hiyo.  Kushoto ni Meneja Masoko, Muffadal Essaji na Mkaguzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Bahati Nasibu, Humudi Abduli.
002 (5) 
Mkuu wa Mauzo wa  Smile  Communications Tanzania, Linda Chiza (katikati), akiwapigia simu washindi.003 (4) 
Mkuu wa Mauzo wa  Smile  Communications Tanzania, Linda Chiza (katikati), akichanganya karatasi ili kuwapata washindi.004 (3)Wafanyakazi wa Smile  Communications Tanzania wakiwa kwenye hafla hiyo ya kuwatangaza washindi wa Ipad.

Post a Comment

Previous Post Next Post