WEMA SEPETU AWAFUNGUKIA WANAOMPONDA KICHWA CHAKE

WEMA SEPETU AWAFUNGUKIA WANAOMPONDA KICHWA CHAKE

Msanii huyo wa Bongo muvi pia CEO wa Endless Fame Wema sepetu aka Madam Wema kwa sasa ameibua maneno kutokana na style ya kipara aliyokujanayo.
Baada ya watu kumdisi sana Madam Wema katika Instagram Wema amefunguka na kusema

“Asiyependa na yeye anyoe kama yeye alafu apost kwenye mitando tuone itakuwaje na kuchekana kusema jus kiddin ila kuna ukweli ndani yake na hayo sasa semeni kichwa changu mpaka mchoke mimi ndiyo nishanyoa.”

Post a Comment

Previous Post Next Post