Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei
akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi kisima katika Shule ya sekondari
Kinambeu iliyopo Singida. Kulia ni Mratibu wa mradi huo kutoka taasisi isiyo ya kiserikali ya
Nkwamira, Noreen Mazalla.
Mkuu
wa Wilaya ya Iramba, Yahya Nawanda akizungumza katika hafla ya
kukabidhi visima vilivyotolewa na benki ya CRDB mkoani Singida.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira, ambaye pia ni
mratibu wa mradi huo, Noreen Mazalla akizungumza wakati wa hafla hiyo
kukabidhi kisima katika Shule ya Sekondari Kinambeu mkoni Singida.
Kisima kilichochimbwa na benki ya CRDB kwa ajili ya Shule ya Sekondari Kinambeu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei
(katikati) akizindua Kisima cha maji katika Shule ya Sekondari Kinambeu, wilaya
ya Iramba Mkoani Singida, mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya
Iramba, Yahya Nawanda na Kulia ni Mratibu wa mradi huo kutoka taasisi
isiyo ya kiserikali ya Nkwamira, Noreen Mazalla.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei
(katikati) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Yahya Nawanda na Kushoto
na kulia ni Mratibu wa mradi huo kutoka taasisi isiyo ya kiserikali ya
Nkwamira, Noreen Mazalla.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles
Kimei (kushoto), akizindua kisima cha maji katika Shule ya Sekondari Kinambeu
iliyopo katika Wilaya ya Iramba Mkoani Singida.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akimtwisha ndoo ya maji
mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Kinambeu, Joyce Zakaria, baada ya
kuzindua kisima cha maji shuleni hapo. Hafla hiyo ilifanyika Mkoani
Singida, mwishoni mwa wiki.
Wanafunzi
wa Shule ya Sekondari Kinambeu wakiimba nyimbo wakati wa hafla ya
kukabidhi kisima kilichochimbwa na Benki ya CRDB kwa ajili ya Shule
hiyo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Nkwamilla ambaye pia
ni Mratibu wa mradi huo, Noreen Mazalla (kulia), akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei
Wanafunzi
wa shule ya Sekondari Kinambeu wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya
kisima walichokabidhiwa na Uongozi wa Benki ya CRDB. Katikati ni
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei
Ofisa
Uhusiano Mwandamizi wa Benki ya CRDB, Willy Kamwela akizungumza na
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Nkwamilla ambaye
pia ni Mratibu wa mradi huo, Noreen Mazalla.
Wanafunzi wa Shuke ya Sekondari Kinambeu wakitumbuiza kwa nyimbo.
Post a Comment