Ngudu msomaji, Ama kweli
kipaji pamoja na ubunifu ni vitu vya msingi sana katika maisha yetu
tunayoishi kila siku hapa duniani. Kijana mmoja uko nchini china,
aliamua kutumia ubunifu wake pamoja na kipaji alichopewa na Mungu, ndipo
na kujenga nyumba ya aina yake ambayo kikwetu tunaweza kuiita kichwa
chini miguu juu.
Kwa nini nimeamua kuipa
jina la namna hii yumba ya mchina huyu? Sababu ni kwamba jinsi
ilivyojengwa nikwamba imepinduliwa, sehemu ya mabati ndio imeanza chini
kwenye ardhi, kisha sehemu ambayo ilitakiwa kuanza chini ndio imeishilia
juu.
Kijana huyo ameifanya
nchi yake kuendelea kuchukua nafasi ya juu kwa nchi zenye vipaji. Nyumba
iyo tangu imekamilika imetokea kuwa bonge la kivutio kikubwa sana
katika eneo hilo.
Post a Comment