Makamu
Mwenyekiti UWT,Bi. Asha Bakari Makame akizungumza kwa msisitizo mkubwa
na wananchi wa Mikoa miwili ya Kisiwani Pemba waliofurika kwa wingi
kwenye Mkutano wa Hadhara wa Chama cha Mapinduzi,uliofanyika siku ya
Jumamosi Mei 3,kwenye Viwanja vya Gombani ya Kale,Kisiwani Pemba.
Post a Comment