Mume na mke wamejilipua namafuta ya Petrol Mkoani Mtwara baada ya kutokea kwa ugomvi baina yao wakati wa usiku.
Kamanda
wa Polisi alisema vifo hivyo vilitokana na ugomvi wa kifamilia ambapo
Mume huyo aliyetambulika kwa jina la Selsius Kamguna alimpiga mkewe hadi
kupoteza fahamu.
Alisema
baada ya kuona mke wake amepoteza fahamu aliamua kuteketeza nyumba yao
kwa moto akitumia mafuta ya petroli wakiwa ndani kitendo
kilichosababisha wote wawili kupoteza maisha,
Post a Comment