HomeKITAIFA CWT WAADHIMISHA SIKU YA WALIMU DUNIANI Hisia October 17, 2014 0 Mratibuwa Uhakiki wa Ubora wa Elimu kutoka Shirika la Kijamii la Masuala ya Elimu (HakiElimu), Robert Mihayo akitoa mada kuhusu Ubora wa Elimu Tanzania wakati wa seminaya maadhimisho ya Siku ya Walimu Duniani iliyofanyika jijini Dar es Salaam.Semina hiyo iliandaliwa na TENMET kwa kushirikiana na Chama Cha Walimu Tanzania(CWT). BOFYA HAPA KUANGALIA MATUKIO YOTE
Post a Comment