Mkurugenzi
wa Tigo kanda ya ziwa Ally Maswanya akizungumza na waendesha bodaboda
mkoani Mwanza juzi wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo na mpango wa
Tigo kuwapa lita moja ya mafuta bure waongezapo lita tatu au zaidi na
kulipia kupitia Tigo Pesa.
Mkurugenzi
wa Tigo kanda ya ziwa Ally Maswanya akizungumza na waendesha bodaboda
mkoani Mwanza, wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo madereva wa
Bodaboda na mpango wa Tigo kuwapa lita moja ya mafuta bure waongezapo
lita tatu au zaidi kulipia kupitia Tigo Pesa. Kushoto ni Mkuu wa Usalama
Barabarani Mkoa wa Mwanza (RTO) Nuru Selemani.
Madereva
wa bodaboda wakitoka kwenye mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyoandaliwa
na Tigo jijini Mwanza juzi na kujisajili kwenye mpango wa tigo kuwapa
lita moja ya mafuta bure waongezapo lita tatu au zaidi kulipia kupitia
Tigo Pesa.
Post a Comment