Mkuu wa Wilaya ya Longido Mheshimiwa James Ole Millya (wa pili kushoto)
akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa huduma mpya ya kasi ya 3G
katika mnara wa Tigo mpakani Namanga, mkoani Arusha. Kulia kwake ni
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini David Charles na Mwenyekiti wa
Kijiji cha Namanga Mheshimiwa William Kikois (kushoto).
Mhandisi
wa Kanda wa Kaskazini kutoka Tigo Judika Anosisye (kulia) akimuonyesha
kifaa cha dish ya 3G (hakipo pichani) kilichofungwa juu ya mnara a Tigo
iliyopo mpakani Namanga, wilayani Longido, mkoa wa Arusha.
Mkuu
wa Wilaya ya Longido Mheshimiwa James Ole Millya (Kushoto) akijaribu
kutumia intanet ya Tigo baada ya kuzinduliwa kwa huduma ya kasi ya
intanet ya 3G katika mnara wa Tigo iliyopo Namanga, wilayani Longida,
Arusha. Kulia ni Mhandisi wa Kanda wa Kaskazini kutoka Tigo Judika
Anosisye akiendelea kutoa maelekezo kuhusu kifaa hicho kipya cha 3G
kinachoonekana kwenye picha, huku Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini
David Charles (kati kati) akishuhudia.
Mnara wa Tigo yenye uwezo wa kasi wa intanet ya 3G kama unavyoonekana eneo la Namanga.
Mkuu wa Wilaya ya Longido Mheshimiwa James Ole Millya akizungumza na
baadhi ya wananchi wa Namanga wakati wa ufunguzi wa mnara huo juzi
wilayani Longido.
Post a Comment