Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akisalimiana na Meneja wa
huduma za Jamii wa kampuni ya simu ya Tigo, Woinde Shisael (kulia) kabla
ya kuanza kwa matembezi ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya
matiti jijini Dar es Salam jana yaliyodhaminiwa na kampuni hiyo.
Wanaoshuhudia ni Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya saratani ya Ocean Road,
Diwani Msemwa (kushoto kwake) na Mkurugenzi wa Wellworth Tanzania, Saul
Basckin.
Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akifanya mazoezi kabla ya
kuanza matembezi ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti
jijini Dar es Salam jana, Matembezi hayo yaliyodhaminiwa na kampuni ya
simu ya Tigo.
Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii ,Dk. Seif Rashid akiongea na watu
waliohudhuria matembezi ya hisani ya kuchangia fedha kwa ajili ya
saratani ya matiti Kunduchi Beach Hotel.
Meneja
wa huduma za Jamii wa kampuni ya simu ya Tigo, Woinde Shisael akiongea
na watu waliohudhuria matembezi ya hisani ya kuchangia fedha kwa ajili
ya saratani ya matiti Kunduchi Beach Hotel.
Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid (wa tatu kushoto) akiongoza
matembezi ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti jijini Dar
es Salam jana yaliyodhaminiwa na kampuni ya simu ya Tigo. Kulia ni
Meneja wa huduma za Jamii wa kampuni ya simu ya Tigo, Woinde Shisael na
Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya saratani ya Ocean Road, Diwani Msemwa
(kushoto kwa waziri).
Wafanyakazi
wa kampuni ya Simu za mkononi Tigo wakipozi kwenye picha ya pamoja
baada ya matembezi ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti
jijini Dar es Salam.
Post a Comment