.jpg)
Rais
Jakaya Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu wa Mstaafu Mhe Edward
Lowassa walipohudhuria sherehe za kutunukiwa kamisheni maofisa wapya wa
Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa cheo cha Luteni Usu, iliyofanyika
katika chuo cha jeshi hilo Monduli, mkoani Arusha leo
![]() |
Picha ya pamoja |
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Lowassa akiongea na
maofisa waandamizi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania akiwemo na Mkuu wa
Majeshi, Davis Mwamunyange (kushoto) kwenye sherehe za kutunukiwa
kamisheni maofisa wapya wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa cheo cha
Luteni Usu, iliyofanyika katika chuo cha jeshi hilo Monduli, mkoani
Arusha leo
.jpg)
Mkuu
wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akimkaribisha Waziri Mkuu Mstaafu
na Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Lowassa alipowasili kwenye sherehe za
kutunukiwa kamisheni maofisa wapya wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa
cheo cha Luteni Usu, iliyofanyika katika chuo cha jeshi hilo Monduli
.jpg)
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Lowassa (kulia)
akizungumza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein
Mwinyi walipohudhuria sherehe za kutunukiwa kamisheni maofisa wapya wa
Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa cheo cha Luteni Usu, iliyofanyika
katika chuo cha jeshi hilo Monduli
.jpg)
Maofisa
wapya wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa cheo cha Luteni Usu wakila
kiapo cha utii mbele ya Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa
kamisheni katika chuo cha jeshi hilo Monduli, mkoani Arusha
.jpg)
Mkuu
wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akiongea na Waziri Mkuu Mstaafu
na Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Lowassa kwenye sherehe hizo.
.jpg)
Burudani katika sherehe hizo
.jpg)
Maofisa
wapya wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa cheo cha Luteni Usu
wakitembea kwa ukakamavu walipokuwa wakitoa heshima kwa Rais Jakaya
Kikwete katika sherehe za kutunukiwa kamisheni maofisa hao, Monduli,
mkoani Arusha
.jpg)
Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akiongea na Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Lowassa. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Daudi Felix Ntibenda
.jpg)
Wimbo wa Taifa ulipopigwa
Post a Comment