Cheche
anatakiwa kufunga kazi yake pale mtu asie julikana, mwanamke wa ajabu
Shalimar, anakuja na kudai kua yeye ndio mridhi na mmiliki wa studio ya
picha ya Mtungi. Utaadhani kama Cheche hana matatizo ya kutosha kazini
kwake, Cheusi anamaswali mengi kuhusu mahusiano yake ya nje. Kwenye
makazi ya Mzee Kizito na wake wake wote, fungate la Nusura linaharibiwa
baada ya Farida kugundua ujauzito wa Nusura. Amegungundua kua ujauzito
wa Nusura waweza kua sio wa Mzee Kizito. Nusura hawezi fanya maamuzi na
mumewe, hivyo anakimbilia kwa rafiki yake wa siku nyingi Julietta kwa
ajili ya msaada lakini kuta zinazidi kua ndefu mbele yake
Post a Comment