Farther Charles Lundu akiendesha Ibada ya Krismas , kwa lugha ya
kiingereza katika Kanisa la Anglikana Mkunazini iliohudhuriwa na
waumini mbali mbali kutoka nje ya Zanzibar wakiwa katika matembezi yao
na kuhudhuria Ibada hiyo. iliofanyika katika kanisa hilo leo asubuhi.
Waumini wakiwa katika Ibada ya Krismas katika Kanisa la Anglikana
Mkunazini Zanzibar, wakijumuika na waumini wengine duniani kuadhim isha
kuzaliwa kwa Yesu.
Waumini wakiwa katika Ibada ya Krismas
katika Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar, wakijumuika na waumini
wengine duniani kuadhim isha kuzaliwa kwa Yesu.
Waumini wa Kanisa la Anglikana Mkunazini wakiwa katika Ibada ya Krismas leo asubuhi kuadhimisha kwa kuzaliwa Yesu..
Waumini wa Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar wakipeana mkono wa
kheri baada ya kumaliza Ibada ya Krismas ilioendeshwa kwa lugha ya
kiingereza na Farther Charles Lundu, ikiwa ni maadhimisho ya kuzaliwa
kwa Yesu.
Farther Charles Lundu akiwasalimia waumini na kupeana mkono wa kheri
baada ya kuadhimisha Ibada ya Krismas katika Kanisa la Mkunazini
Zanzibar, wakiungana na Waumini wa madhehebu mbalimbali Duniani
kuadhimishi siku hii
Mchungaji Filipo Mvungi akiongoza Ibada ya Krismas kwa kuadhimisha
kuzaliwa kwa Yesu, iliofanyika katika Kanisa hilo la KKKT Mwanakwerekwe
Dayosisi ya Zanzibar na kuhudhuriwa na waumini wa kanisa hilo ikiwa ni kuadhimisha
siku hiyo ya kuzaliwa kwa Yesu.
WAUMINI wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Zanzibar Mwanakwerekwe Unguja wakiwa katika Ibada ya
Krismas iliongozwa na Mchungaki Filipo Mvungi na kuungana na waumini wa
madhehebu mbalimbali ya kikristo duniani katika kuadhimishi siku ya kuzaliwa
kwa Yesu.
Post a Comment