Mwili wa Msichana anaedaiwa kuchinjwa na mpenzi wake leo jioni maeneo ya Manzese Friends Corner ukitolewa katika eneo la tukio
Kijana anaetuhumiwa kumchinja mpenzi wake
sababu ya wivu wa mapenzi akiwa amepandishwa katika gari la Polisi
akipelekwa kituoni huku akitokwa na damu shingoni baada ya kujaribu
kujiua kwa kutumia kisu.Picha na (Mjengwa Blog)
Post a Comment